Orodha ya Wasanii wa Hip Hop Matajiri Zaidi Duniani 2018 Jay Z Aongoza
Orodha ya Wasanii wa Hip Hop Matajiri Zaidi Duniani 2018 Jay Z Aongoza
Forbes imetoa orodha ya wana Hip Hop matajiri zaidi duniani 2018. JAY-Z ameongoza na $ 900M.
JAY-Z ameingiza zaidi ya $ 90M tangu mwaka jana na imetokana na kuwa na share kwenye champagne ya Armand de Brignac na DUss� cognac. Pia umiliki wa Roc nation na Tidal.